alt text

Silver Eva Spray


Viungo:


Radix Sophorae Flavescentis Extract, Herba Leonuri Extract, Cortex Cinnamomi Extract, Fructus Lycii Extract.

silver eva spray

Kazi Na Faida Zake



Yafaa Kwa:


Maelezo Muhimu:

Kwa mwanamme, uume kusimama ni ishara tosha kuwa kuna uwezekano wa kulikamilisha vizuri tendo la ndoa. Kwa mwanamke, kuna vitu vingi zaidi ya hilo. Lakini kinembe kusimama ndiyo njia kwa walio wengi ya kufikia kilele cha starehe ya tendo la ndoa. Kusimama kwa kinembe kuna umuhimu mkubwa ili mwanamke afikie starehe ya tendo la ndoa. Kunahusiana na kuamshwa kimapenzi. Kutanuka na uimara wa kisimi kunahusiana na utendaji wa nitric oxide kwenye tishu za ndani ya kisimi, tendo linalolingana na lile linalotokea uume wa mwanamme unaposimama.
Kisimi, kilichopo katikati ya mashavu ya ndani (labia minora) eneo yanapokutana kwa juu, ni eneo lililochomoza likichukua nafasi ya uume wa mwanamme. Kinembe, kama ilivyo kwa uume, kina usikivu mkubwa wa viamsho vya kimapenzi na kinaweza kusimama. Kukichangamsha kisimi kimapenzi kunaweza kumfanya mwanamke afike mshindo.
Sawaswa na kusimama kwa uume, tendo lo lote litakaloongeza mtiririko wa damu kwenye kiungo hiki linaweza kusababisha utolewaji wa vilainishi vya uke.

Radix Sophorae Flavescentis:

Silver eva spray imetengenezwa ili kukusaidia kisimi chako kiweze kusimama. Radix Sophorae Flavescentis huitwa Ku Shen, kwa kichina, maana yake namna ya ginseng yenye ladha chungu. Kila mwaka wakati wa majira ya majani kuchipua na majira ya majani kupukutika, watu hukusanya mizizi ya mmea huu, huondoa nyuzinyuzi na ncha, husafisha kwa maji, hukatakata vipande, huanika juani na kutumia kama dawa.

Ku Shen
Usafi ndicho kitu muhimu zaidi kwa wanawake zaidi ya starehe. Kukosa usafi wakati wa tendo la ndoa ndicho chanzo kikubwa cha magonjwa ya ngono. Miaka elfu mbili iliyopita wanawake wangeweza kupata magonjwa ya sehemu za siri yaliyosababishwa na virusi, bakteria, vimelea na wadudu wenginw wa magonjwa. Maeneo ya joto yenye unyevunyevu, wanawake wengi wangewez kupata shida hizi. Hii ilipunguza kwa kiasi kikubwa starehe ya tendo la ndoa. Wakati mwingi, walipata maumivu wakati wa tendo la ndoa. Kabla ya kugundulika kwa mbinu za usindikaji, mmea ulichemshwa katika maji ili kuandaa mchanganyiko uliotumika kuosha sehemu za siri za wanawake waliokuwa na maambukizi. Mmea wa Ku Shen una alkaloids kadhaa, kama matrine, sophoridine, flavascensine na flavonoids , saponins na phenylpropanoids. Sophoridine inaweza kuondoa uvimbeuchungu. Sophoridine inaweza kuzuia kuzaliana kwa bakteria kama E.Coli na staphylococcus Aureus. Vile vile inazuia kuzaliana kwa amoeba na Trichomonas. Inatunza bakteria wazuri katika uke -Lactobacillus. Pia inapunguza kuvimba kwa sehemu za siri na miwasho. Kwa hiyo hatua ya kwanza ya silver eva spray ni kuboresha ulinzi wa sehemu za siri za mwanamke.

Herba Leonuri:

Yi Mu Cao
Jina la kichina unaitwa Yi Mu Cao, maana yake mmea kwa ajili ya wanawake. Mmea huu una istoria ndefu na unatumika sana kwa ajili ya tiba ya matatizo ya viungo vya uzazi na uzazi kwa maelfu ya miaka. Herba Leonuri, ambao pia huitwa Chinese Motherwort, una alkaloids, flavonids, na diterpenes. Mmea huu umetumika kama jani kuu la hedhi na kusaidia kujifungua watoto na hutumika zaidi kwa matatizo ya maji kujaa mwilini na kuganda kwa damu. Vile vile unaweza kuondoa sumu na kuzuia uvimbe baada ya kuumia. Mmea wote una mafuta muhimu, kiungo kichungu (leonrine), aina ya alkaloid (leonurinine), glycosides na tannins. Kwa namna moja, herba leonuri huboresha mzunguko wa damu, na kwa namna nyingine, husisimua misuli laini ya nyumba ya mimba na kusababisha kusinyaa kwa nyumba ya mimba. Kwa kutumia kiungo hiki, unaweza kuongeza usikivu wa ngozi na kisimi. Hii itaongeza kwa kiasi kikubwa raha wakati wa tendo la ndoa.

Cortex Cinnamomi:

Kiungo hiki ni magamba yaliyokushwa ya mti -Cinnamomum cassia. Ni kiungo na pia ni dawa, Mti huu umelimwa na kutumika duniani kote kwa maelfu ya miaka. Mmea una ladha tamu na kali. Una faida kwa mikondo ya figo, bandama, moyo na maini ambako hufanya kazi ya kuondoa ubaridi na maumivu, kusaidia mzunguko wa damu na kupandisha joto la mwili.

cinnamomi
Katika kliniki Cinnamomum hutumika kutibu ugumba, arthrits, kizunguzungu, kutapika, homa, kuharisha, maumivu ya tumbo,maumivu ya moyo, mashambulizi ya tezi dume, hedhi zisizotabirika na kukosa hedhi.
CC ina uwanja mpana wa matumizi ya kifamasia. Essential oils zina tabia ya kupambana na uvimbeuchungu, ni antioxidants, antibacterial, na huondoa uvimbe. Flavonoids ndani ya CC aimeonyesha kuwa ni antioxidants zenye nguvu. Phenolics husaidia uvunjaji wa sukari na lipids.
Kulingana na tiba sili ya kichina, mapungufu katika kidney yang na kidney ying hujionyesha kwenye ugumba, kuwahi kufika kileleni, mbegu kuwa chache (low sperm count) kwa wanaume na kukosa matamanio (low libido) au ugumba kwa wanawake. Cinnamon inatia joto. Katika tiba za magharibi, husaidia katika kutoa homoni za mapenzi; na katika tiba za kichina, ni dawa ya kidney yang na kidney yin. Huongeza hamu ya mapenzi kwa wanawake na kuboresha mikondo yao ya figo.
Ikitumiwa kiusahahi, inaboresha mzunguko wa damu na kudhibiti staphylococcus, Bacillus Subtilis na E.Coli.

Fructus Lycii :

Hii ni aina ngeni ya tunda dogo la mti wa Lycium Barbarum. Huwa tunayaita Goji berries. Hiki ni kiungo cha kawaida katika mapishi ya kichina. Hutumika katika supu, kama uji pamoja na wali na huongezwa kwenye chakula cha aina mbalimbali cha nyama na mboga. Tuna utaratibu wa kufurahisha kwetu China. Tunaamini kuwa soda na chai ya maziwa ni kwa vijana, na chai zinazotengenezwa kwa kutumia mimea zenye Goji berries ni kwa watu wa umri wa kati. Matunda huvunwa kuanzia mwezi Agosti hadi Oktoba. Huko katika jimbo la Ningxia Hui lililopoa kaskazini mwa China ya Kati na katika jimbo la Xinjiang Uyghur lililopo magharibi mwa China, Goji hulimwa kwa kufuata taratibu zinazokubaliaka - Good Agricultural Practice (GAP).

Goji
Kwenye eneo kuu la uzalishaji wa Goji, mavuno kila mwaka husherehekewa mwezi wa Agosti. Kwa kawaida matunda hukaushwa lakini yanaweza pia kuliwa yakiwa bado mabichi kama ilivyo kwa majani yake ambayo ni mboga yenye thamani.
Tunda hili lina mchanganyiko wa vitu vyenye thamani kibayolojia vinavyojitofautisha kwa kuwa na uwezo mkubwa kama antioxidant. Fructus Lycii hutumika katika tiba za kichina kama kitu cha kusaidia macho na kurefusha maisha pamoja na kuweka sawa sukari katika mwili kwa karibu karne mbili. Vitu vingi sana vyenye thamani ya kibayolojia vimepatikana katika fructus lycii, lakini polysaccharide, carotenoids, flavonoids, na phenolics ndivyo viungo vikuu kiutendaji vya mmea huu. Mmea wa fructus lycii umeonyesha kuwa na kazi nyingi za kabayolojia katika majaribio yaliyofanywa kama antioxidant, anti-inflammatory, antiapoptotic, na neuroprotector.
Katika tiba asili ya kichina (TCM), CC imetumiak kutibu tatizo la kukosa hamu ya mapenzi. Uchunguzi wa sasa wa taaluma ya madawa umeonyesha kuwa frucys lycii tabia ya kulinda mfumo wa uzazi na figo. Utafiti kwa wanyama ulifanywa kwa kuwapa panya Goji walioondolewa mifuko yao ya mayai (ovaries). Matokeo yalionyesha kuwa fructus lycii ilikuwa na tabia ya estrogen katika panya hao. Waliona kujijenga kwa misuli ya uke, mabadiliko katika kusinyaa kwa nyumba za mimba, uke, na tezi za maziwa, na udhibiti mkubwa wa estrogen receptor a na estrogen receptor B katka tishu hizo za uzazi. Majaribio haya yaliashiria kuwa fructus lycii kwa kiasi kikubwa ili[unguza uzito kutokana ongezeko la uzito kutokana na kukosekana kwa estrogen katika panya.
Ikitumiwa vizuri, fructus lycii inaweza kuongeza usisimkaji wa viungo vya uzazi vya mwanamke.

:
:

Silver Eva Spray





<<<<< MWANZO